bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 767
- 1,083
we ungekuwa dr mgonjwa akikuona tu rip!R.I.P
Vijana wengi mnaogopa ukimwi ila kuna hepatitis mkuu tena inayosababisha kansa ya ini spread yake ni hatari kuliko HIV na ni life time disease Yani ata mgusano tuu na Maji Maji ya mwili ushaupata , mate jasho na Yale ya Niaje Yote yanaweza sambaza so kuwa makini .ila uzuri ni Kwamba kuna kinga yake na umepatkana kwa urahisi tuu kwenye vituo vingi vya afya hapa nchini na ni bei nafuuwajuzi wa mambo njooni hapa! mtueleze ukweli wa mambo, maana juzi kati nilikuwa na game na ka she fulani hapa mtaani kwetu kumbe yule she alikuwa hajamaliza period yake vizuri na hakuniambia, sasa nilicheza bila viatu ile game kuja kushituka wakati na shangilia ushidi wa 1-0 dk ya tisini nikaona damu wacha wee akil imeyumbaa!
Nenda kwa amani mkuu msalimemie banza stonewajuzi wa mambo njooni hapa! mtueleze ukweli wa mambo, maana juzi kati nilikuwa na game na ka she fulani hapa mtaani kwetu kumbe yule she alikuwa hajamaliza period yake vizuri na hakuniambia, sasa nilicheza bila viatu ile game kuja kushituka wakati na shangilia ushidi wa 1-0 dk ya tisini nikaona damu wacha wee akil imeyumbaa!
Ukishakuwa HIV positive na ukatumia dawa mpaka kwenye undetectable level haimaniishi kwamba huwezi kuambukiza..undetectable level inaonyesha tu kwamba viral load(idadi ya virusi imepungua)...kwa hiyo virusi bado wapo japo kwa idadi ndogo mno(the drugs are working with good efficiency)..unaweza kuambukiza japo japo sio kwa rate kubwa kama mtu ambaye ana detectable amount...Huyo mwanamke una uhakika ni HIV+?
Akiwa + na anakunywa dawa vizuri mpaka judicial undectectable status hawezi kukuambukiza.
Kinga ya homa ya ini ipo mkuuVijana wengi mnaogopa ukimwi ila kuna hepatitis mkuu tena inayosababisha kansa ya ini spread yake ni hatari kuliko HIV na ni life time disease Yani ata mgusano tuu na Maji Maji ya mwili ushaupata , mate jasho na Yale ya Niaje Yote yanaweza sambaza so kuwa makini .ila uzuri ni Kwamba kuna kinga yake na umepatkana kwa urahisi tuu kwenye vituo vingi vya afya hapa nchini na ni bei nafuu
Hahaaaa, na tusi juu,Asante kwa swali zuri na utakuwa umeuliza mda sahihi kabisa
Virusi vya ukimwi vipo kwenye damu na hata majimaji ya ukeni pia yana virusi vya ukimwi...kwa kufanya mapenzi wakati wowote na mwanamke ambaye tayari ana virusi vya ukimwi unaweza kupata virusi vya ukimwi japo risk inaongezeka zaidi kama mwanamke yupo kwenye siku zake kutokana na damu ambayo inatoka wakati wa hedhi
Kwa mtu kupata vizuri vya ukimwi katika mazingira kama hayo inategemea kama michubuko ilikuwepo wakati anafanya uzinzi huo..
Kama una uhakika mwanamke huyo ana virusi vya ukimwi unachoweza kufanya ni kwenda hospitali ghafla ikiwezekana na huyo mwanamke wako ili madaktari wajihakikishie kwamba anao au la
Wakikuta anao basi wanaweza kukuanzisha PEP ambayo ni effective katika kuzuia wewe kupata vizuri...PEP inafanya kazi kama utaanza kuitumia ndani ya masaa 72...ukichelewa game itakuwa ngumu kwako
Pia wadau achenu kufanya mapenzi kavukavu bila kuwa na uhakika na afya za hawa side chick..mtakuja kutuachia watoto yatima bure...mafala wakubwa
Sijui ila nasikia moto huko tuendako upo mwingi...tena moto wa kuacha watoto wadogo wakiteseka Duniani...Hahaaaa, na tusi juu,
Kwani mkuu umeambiwa tunaishi milele tuache tule raha bwana, usipoenda na ukimwi kuna magonjwa mengine mengi tu,
Ukiukwepa kwa michepuko waweza letewa na mzazi mwenzio so mi naona bora kujiachia tu
Joke[emoji14] [emoji14] [emoji14]Hivi bado kuna watu wanaogopa ukimwi miaka hii.
Ugonjwa feki huo we piga mzigo acha woga.