Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole ayse. Mtoto anayenyoa hawezi kupata tatizo lolote, cha msingi hakikisha anapata mchanganyiko wote muhumu hasa maziwa, samaki, matunda n.k. Mama aache kumnyonyesha maana akiendelea atahatarisha afya ya mama na mtotoaliyeko tumboni. Mama aanze kuhudhuria clinic ya uzazi hospitali kumbwa, madaktari specialists wa operation za uzazi waanze kum-attend na kufuatilia kwa makini kadiri mtoto wa tumboni anavyokua. Clinik ni ya muhimu sana maana mshono wa mwanzo wakati mwingi unakuwa haujapona vizuri kwa ndani. Imarisha lishe kwa mama pia ili awe na nguvu na damu ya kutosha ili kuepuka kuongezewa damu wakati wa operation.Wadau habari zenu.
Mke wangu ana mtoto wa mwaka mmoja na miezi minne (miezi 16), tena alijifungua kwa operesheni na sasa amepata tena ujauzito.
Nisaidieni
*Je, kuna madhara yoyote anayoweza kuyapata mtoto huyu mwenye mwaka na miezi minne anayoweza kuyapata? Maana bado ananyonya.
*Nifanyaje ili mke huyu, mtoto wangu na kiumbe kilichopo tumboni waweze kuwa imara (Healthy)?
Tafadhali, wadau wenye uzoefu na utaalamu
Mbona mtoto wa mwaka na miezi minne ni mkubwa tu. Mke wangu alipata mimba mtoto wetu wa kwanza akiwa na miezi sita tu.Wadau habari zenu.
Mke wangu ana mtoto wa mwaka mmoja na miezi minne (miezi 16), tena alijifungua kwa operesheni na sasa amepata tena ujauzito.
Nisaidieni
*Je, kuna madhara yoyote anayoweza kuyapata mtoto huyu mwenye mwaka na miezi minne anayoweza kuyapata? Maana bado ananyonya.
*Nifanyaje ili mke huyu, mtoto wangu na kiumbe kilichopo tumboni waweze kuwa imara (Healthy)?
Tafadhali, wadau wenye uzoefu na utaalamu
Hizi mambo huwezi kuzijua kama haupo kwenye ndoa!! Ni ngumu sana kutumia kondomu kila siku na mkeo.Mke inabidi awe kwa uangalizi wa karibu na dr
Ila ulishindwa kabisa kumwaga nje au kutumia condom?
Mbona hamuwahurumii hao wake zenu????
Mkeo alijifungua kwa kuchinjwa tumboni?Mbona mtoto wa mwaka na miezi minne ni mkubwa tu. Mke wangu alipata mimba mtoto wetu wa kwanza akiwa na miezi sita tu.
Mama aliilea mimba na huku akimnyonyesha mtoto wetu wa kwanza hadi alipofikisha miez 12 ndo akamwachisha.
Watoto wote wanaendelea vizuri na wapo shuleni tena ni "majinjaz"
Nakushauri msiitoe hiyo mimba, najua mnawaza kuitoa!!
Hizi mambo huwezi kujizua kama haupo kwenye ndoa!! Ni ngumu sana kutumia kondomu kila siku na mkeo.
Wengi wamejikuta wakipeana mimba by mistake baada ya utamu kukolea na kushindwa kuchomoa kumwaga nje, na wengine kalenda Method imewapoteza na kujikuta mimba zinaingia by mistake.
Wadau habari zenu.
Mke wangu ana mtoto wa mwaka mmoja na miezi minne (miezi 16), tena alijifungua kwa operesheni na sasa amepata tena ujauzito.
Nisaidieni
*Je, kuna madhara yoyote anayoweza kuyapata mtoto huyu mwenye mwaka na miezi minne anayoweza kuyapata? Maana bado ananyonya.
*Nifanyaje ili mke huyu, mtoto wangu na kiumbe kilichopo tumboni waweze kuwa imara (Healthy)?
Tafadhali, wadau wenye uzoefu na utaalamu
Huyu jamaa sijui alishindwa ata kuchepuka ...namuonea huruma mama dahhhIko hivi naona wengi mmechangia upande wa mtoto tu. Kwa mama wa operation angalau angekuwa na miaka miwili ama 3 ,nilishuhudia Dada mmoja baada ya kujifungua! kwa operation mtt wa kwanza akabeba mimba mtt akiwa na mwaka na nusu, ile mimba alivyofikisha miezi mitano uzito wa mtt tumboni ukawa unasababisha anaumwa sana kwenye jeraha la operation iliyopita akawekwa bed rest miezi saba wakatoa mtoto kabla ya siku za mtoto maana mama alikuwa anapata maumivu makali mno, kidonda kilichopita kikawa na dalili za kuchanika kwa ndani..mtoto alitolewa kwa kisu tena,, hiyo nilishuhudia,
Siombei baya limkute ila aende hosp kubwa kwa ushauri zaidi na check up za mara kwa mara.
Angalizo: wakati mwingine ni vyema kuwa na Huruma na mkeo, operation ni nusu ya kifo..vyema kusubiria angalau miaka 3 kisha unajaza tena.
Mungu awatie nguvu nyote.
Akili yako ndo ilipoishia sioMadhara yatoke wapi mbona kuku anataga mayai hata 20 na huyaatamia yote
Aisee Mkuu, basi sawa ila natamani nionane na huyo mwanamke, Dr akasema hakuna shida kwelii? Basi sawa hongera kwakeHaina shida kabisa, mi Nina Rafiki yng alijifungua kwa operation mtoto akiwa na miez Tisa tuu ikanasa nyingine akamuona Dr wake na akaambiwa hamna shida na hapa tayari kajifungua ana mwezi sasa, nakushaur afike kituo cha afya kama hakuna.complications yeyote atakua salama, jitahidi mtoto apate lishe bora na amwachishe Ku yonya ili na kiumbe cha tumboni kipate haki yake
Hapo ndo tunapo uona umuhim wakuchepuka.Wadau habari zenu.
Mke wangu ana mtoto wa mwaka mmoja na miezi minne (miezi 16), tena alijifungua kwa operesheni na sasa amepata tena ujauzito.
Nisaidieni
*Je, kuna madhara yoyote anayoweza kuyapata mtoto huyu mwenye mwaka na miezi minne anayoweza kuyapata? Maana bado ananyonya.
*Nifanyaje ili mke huyu, mtoto wangu na kiumbe kilichopo tumboni waweze kuwa imara (Healthy)?
Tafadhali, wadau wenye uzoefu na utaalamu
Operation za Leo sio sawa na za mama zetu miaka hio, now mambo yamechangeAisee Mkuu, basi sawa ila natamani nionane na huyo mwanamke, Dr akasema hakuna shida kwelii? Basi sawa hongera kwake
Tofauti ni moja tu sikuhizi hawachani Msalaba yani usawa wa kitovu kushuka chini, sa hv wanapasua tofauti ila maumivu Yale Yale na lazima uzingatie ushauri. Any way ni sawa pia km tushakuwa Wa U.S.AOperation za Leo sio sawa na za mama zetu miaka hio, now mambo yamechange