Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 717
- 666
Mtoto mdogo ni tofauti na wakubwa, hapewi dawa tu ilimradi tuondoa symptoms.
Black BackUp usitumie hiyo dawa iliyoandikwa hapo juu, itapunguza mafua kwa muda kisha tatizo litarudi tena.
Ni hatari, hasa kwa mtoto wako wa siku 7. Nakuomba umpeleke mtoto hospitali.
Asante sanajitahidi mahali anapolala pasiwe na vumbivumbi (allergy) hivyo waweza chukua uangalifu juu ya godoro, mashuka, mapazia pia mazulia kuhakikisha ni masafi na kubadilisha kila baada ya kuonesha dalili ya uchafu.
Mpake mafuta ya nazi kuzunguka pua yake karibu na matundu inasaidia kulainisha mafua yatachuruzika apate kupumua vizuri yakikauka unampaka tena.Hii itasaidia aweze kunyonya na kadri ananyonya sana ndo tiba nzuri ya mafua kupona.Habari,
Mtoto wa Umri wa Wiki Moja ana Mafua makali na anakohoa mara mojamoja... Naomba Ushauri wa kitaalam na namna ya kumsaidia kupata na dawa.
Asante