Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Mwanangu ana miezi 11 sasa alhamdulilah! Anakula vizuri .tu chakula cha usiku anakula around SAA 12 hadi saa moja jioni.Na Mimi nakuwa nimerudi toka mihangaikoni.
Ila shida ni kwamba ananyonya usiku kucha hata Mara kumi nashindwa kulala vizuri.
Naombeni ushauri wakuu.
Ila shida ni kwamba ananyonya usiku kucha hata Mara kumi nashindwa kulala vizuri.
Naombeni ushauri wakuu.