Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Sasa si atakuwa ana mmalizia baba yake? Aisee, fanya mpango alale mbali na weweMwanangu ana miezi 11 sasa alhamdulilah! Anakula vizuri .tu chakula cha usiku anakula around SAA 12 hadi saa moja jioni.Na Mimi nakuwa nimerudi toka mihangaikoni.
Ila shida ni kwamba ananyonya usiku kucha hata Mara kumi nashindwa kulala vizuri.
Naombeni ushauri wakuu.
Kumsaidia kunyonyesha?Nakuja kukusaidia
Saa tatu mwisho tulaleWw ulitaka anyonye saa ngap?!
Simba Na mamba ni wakali lakini wanapigwa miti wanazaa ujueIla kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai. We miss si ndo kila kukicha unatuona wanaume watu sio. Wamekubebesha mimba kabisa hahahaha.....wanawake huwa wanapotoshana sana kuhusu wanaume hahha
Wewe naweJack acha kudanganya watu. Sema baby anakukamu usiku kucha
Mnatuondolea cancer ya titiMbona sisi wakubwa tukiwanyonya hamlalamiki jamani, hebu muache mtoto anyonye apate vitamini.
Saa tatu mwisho tulale
Kumbe una kichanga siku hizi, hongeraMwanangu ana miezi 11 sasa alhamdulilah! Anakula vizuri .tu chakula cha usiku anakula around SAA 12 hadi saa moja jioni.Na Mimi nakuwa nimerudi toka mihangaikoni.
Ila shida ni kwamba ananyonya usiku kucha hata Mara kumi nashindwa kulala vizuri.
Naombeni ushauri wakuu.