Kumbe una kichanga, hongera sana, by the way, mtoto akinyonya hulali vizuri lakini babaake akinyonya unalala vizuuri[emoji3]Mwanangu ana miezi 11 sasa alhamdulilah! Anakula vizuri .tu chakula cha usiku anakula around SAA 12 hadi saa moja jioni.Na Mimi nakuwa nimerudi toka mihangaikoni.
Ila shida ni kwamba ananyonya usiku kucha hata Mara kumi nashindwa kulala vizuri.
Naombeni ushauri wakuu.
Mkuu tulia, bas hii kaz niachie mwenyeweKumsaidia kunyonyesha?
Sawa mkuu kazi kwako ila angalia msije mkammbemenda mtotoMkuu tulia, bas hii kaz niachie mwenyewe
Ondoa shaka kuhusu hilo, ila Show lazima ipigweSawa mkuu kazi kwako ila angalia msije mkammbemenda mtoto
Ahahaaa jamani.We unashindia chipsi na kachori unadhan maziwa ya kumlizisha mtoto unatoa wap ?
Tena hao wakipigwa miti ndio wanalia zaidi kuliko wasio wakaliSimba Na mamba ni wakali lakini wanapigwa miti wanazaa ujue
Amerithi kwako,Mwanangu ana miezi 11 sasa alhamdulilah! Anakula vizuri .tu chakula cha usiku anakula around SAA 12 hadi saa moja jioni.Na Mimi nakuwa nimerudi toka mihangaikoni.
Ila shida ni kwamba ananyonya usiku kucha hata Mara kumi nashindwa kulala vizuri.
Naombeni ushauri wakuu.
Niandalie mamake Leo uta enjoy sanaHata sioni msaada hapa .ngoja nimsongee mwanangu ugali ale tulale