Mtoto ananyonya sana usiku silali

Hongera kwa kuwa na mtoto ila nijuacho mtoto kunyonya sana sio tatizo jaribu kumtengenezea chakula kigumu cha wastani na umbadilishie ratiba ya kula chakula cha usiku
 
Pole sana
 
Hongera kwa kuwa na mtoto ila nijuacho mtoto kunyonya sana sio tatizo jaribu kumtengenezea chakula kigumu cha wastani na umbadilishie ratiba ya kula chakula cha usiku
 
Watoto wote wananyonya lakini wakiume nimewapa kombe. Wananyonya haijalishi wamekula chakula kingine au la! Zoezi la kunyonya hawalichanganyi na kitu chochote, linajitegemea.

Vumilia tu rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…