Miaka 2.Habari,
Huu ni uzi kwa ajili ya watoto naomba kuuliza kama. Una uzoefu au wewe ni Dr. Naomba kuelimishwa.
Je, mtoto mchanga anatakiwa kunyonya maziwa ya mama kwa muda gani? Kuna watu wanasema miezi 6 bila chochote. Ukimpa maji ataumwa tumbo
Miaka miwiliHabari,
Huu ni uzi kwa ajili ya watoto naomba kuuliza kama. Una uzoefu au wewe ni Dr. Naomba kuelimishwa.
Je, mtoto mchanga anatakiwa kunyonya maziwa ya mama kwa muda gani? Kuna watu wanasema miezi 6 bila chochote. Ukimpa maji ataumwa tumbo ukimpa chakula mapema namaanisha uji, hatofanana na mtoto aliyenyonya maziwa miezi 6 bila kula chochote sina ufahamu nami nina mtoto kwa sasa haitaji kujifunza.
Karibuni kwa Maoni[emoji848][emoji848][emoji848]
Miezi sita ili na baba apate nafasi ya kunyonya kabla mtoto mwingineMiaka 2 -3 kwa afya ya mtoto
Duh!!!!Inategemea kama mtoto anashiba. Watoto wengi hawashibi hasa wa kiume na hivyo lazima wapewe uji hata akiwa ni wiki moja. Uji wa muhogo uliochujwa kwa kitambaa kisafi kwa kijiko. Mtoto kama hashibi unamuona analia sana. Hivyo unampa kidogo utaona ananyamaza na kuuchapa usingizi
Uzoefu bwasheeDuh!!!!
Sawa mkuuUzoefu bwashee
Sawa mkuuBaada ya miezi sita unamuanzishia uji mwepesi usio na mchanganyiko wa vitu vingi, mf. Unga wa ugali tu unatengenezea uji...Kwa mwezi mmoja tumbo lizoee Kisha unaanza kuongeza vingine sijui cerelac, ugali, smoothies, mitori, bokoboko n.k (huku akiendelea kunyonya Hadi 2yrs)
Hayo ya kuchuja na kitambaa nobody got time for that [emoji23]
Habari,