Mtoto Giles

Mtoto Giles

Rich Pol

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2013
Posts
7,874
Reaction score
5,685
Mtoto Giles Mtoto uliyejaaliwa, ukipishana na mwanaume hata kama ana mwenzi wake lazima ageuke, ukiembea makalio yako yanacheza huku yakitetemeka na kusababisha mioyo yetu kwenda mbio.

Umekula sana hela yetu ya vocha na saloon japo wengine hawawezi kijitokeza. Mtoto unaependa kuchat zaidi ila simu hupokei eti ulikuwa mbali na simu, uko wapi mrembo mbona huonekani? Bado tunakupenda njoo tukupe na ushauri wa lile tatizo lako Giles.
 
inatosha bhana,kwani we unamfahamu yeye ni nani?akiwa mwanaume au mwanamke inakusaidia nini,acheni hizo
 
  • Thanks
Reactions: amu
inatosha bhana,kwani we unamfahamu yeye ni nani?akiwa mwanaume au mwanamke inakusaidia nini,acheni hizo

Ushamba tu na utoto unawasumbua.
Hapa huwezi mkuta legendary hata mmoja analalamika eti kaliwa tuvocha.
 
Mtoto GilesI Mtoto uliyejaaliwa, ukipishana na mwanaume hata kama Ana mwenzi wake lazima ageuke, ukiembea makalio yako yanacheza huku yakitetemeka na kusababisha mioyo yetu kwenda mbio, umekula sana hela yetu ya vocha na saloon japo wengine hawawezi kijitokeza, Mtoto unaependa kuchat zaidi ila simu hupokei eti ulikuwa mbali na simu, uko wapi mrembo mbona huonekani? Bado tunakupenda njoo tukupe na ushauri wa lile tatizo lako, GilesI
Aaaaaggrihhhh.....Kumbe ni watoto wanacheza humu! Katiba hairuhusu kuchangia mambo ya watoto.
 
Last edited by a moderator:
Jamani hebu tumsamehe na tumuache mwenzetu afanye recovery na come back.

Mods kama adhabu mtu ameishapata na ni kubwa kuliko hata permanent ban,hebu zifungeni tu zile nyuzi.

Inatosha sasa.
 
Sijamuongelea bujibuji mimi namuongelea mrembo aliejaaliwa bujibuji ni mwanaume.
I miss u giLESI


html>
301 Moved Permanently

301 Moved Permanently
nginx



html>
<head><title>301 Moved Permanently</title></head>
<body bgcolor="white">
<center><h1>301 Moved Permanently</h1></center>
<hr><center>nginx</center>
</body>
</html>
 
Pitia na posts nyingine nyingi ujionee mengi, ujifunze mengi, ujue mengi then ukirudi hapa utakuja na story tofauti
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom