Mtoto hapati usingizi mpaka anuse nepi iliyotumika kwanza

Mhh hii siyo hal ya kawaida,anahtaj msaada wa kiroho na kumkemea kwa sana maana tabia hii ikikua itazua makubwa mbeleni..yarabi tunusuru
 
Kisukari,nashukuru kwa ushauri wako mzuri.
 
Mhh hii siyo hal ya kawaida,anahtaj msaada wa kiroho na kumkemea kwa sana maana tabia hii ikikua itazua makubwa mbeleni..yarabi tunusuru

Charty, asante sana kwa ushauri wako nitaufanyia kazi.Ubarikiwe.
 
Asante kwa ushauri mzuri mkuu Kisima,nitacheck nae kuhusiana na hilo.
 
Aligunduaje ?..., I mean ilikuwaje hadi akajua nepi itamlaza , what happen kwa mara ya kwanza ?

Mkuu KeyserSoze, swali zuri la kufikirisha. Ok nitacheck na mama wa mtoto kujua alianzaje. Asante ndugu yangu.
 
Mkuu KeyserSoze, swali zuri la kufikirisha. Ok nitacheck na mama wa mtoto kujua alianzaje. Asante ndugu yangu.
Nadhani tatizo sio mtoto bali ni mzazi, ni jukumu la mzazi kukataza / kupinga tabia zote mbaya mtoto anazozianza na sio kuziendeleza... Kuna imani kwamba mtoto anapozaliwa huwa ni blank slate (Tabula Rasa) yaani ni kama ubao, tabia anajifunza kutoka kwenye jamii, wazazi na watu wanaomzunguka
 
Mkuu KeyserSoze, nakubariana na wewe.Ni kweli kabisa ni jukumu la mzazi kuhakikisha anamlea na kumkuza mtoto ktk njia nzuri ili hatimaye aje kuwa raia mwema baadaye na hii ni vyote,kimwili na kiroho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…