Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
badala ya kumpa nepi,angepewa kitu kingine cha kumsaidia alale nacho,kama ki gari kidogo,au kama wa kike mdoli.hayo ni mazoea tu kwa kuwa mama anamuachia na yeye anaendelea nayo.watoto wakikua wanakuwa na stage zao za vituko vyao,mwisho wa siku ataacha.ila la kunusa nepi nahisi sio mazoea mazuri
Nashauri apelekwe kwenye maombi pia jaribu kukaa karibu na mama mwenye mtoto muulize kama hajajihusisha na miujiza ya giza kupata huyo mtoto. Tabia ya kuwashirikisha waganga ili upate mtoto huibua sintofahamu nyingi yapaswa zipigwe vita na tumkabidhi Mungu shida zetu yeye ndiyo jibu.
huyo mtoto anatumia nepi kama kitu cha kucuddle nacho,atafutiwe teddy bear au cuddle cloth awe analala nayo mfano kama hii
View attachment 146104
View attachment 146105
View attachment 146106
Nadhani tatizo sio mtoto bali ni mzazi, ni jukumu la mzazi kukataza / kupinga tabia zote mbaya mtoto anazozianza na sio kuziendeleza... Kuna imani kwamba mtoto anapozaliwa huwa ni blank slate (Tabula Rasa) yaani ni kama ubao, tabia anajifunza kutoka kwenye jamii, wazazi na watu wanaomzungukaMkuu KeyserSoze, swali zuri la kufikirisha. Ok nitacheck na mama wa mtoto kujua alianzaje. Asante ndugu yangu.
Nadhani tatizo sio mtoto bali ni mzazi, ni jukumu la mzazi kukataza / kupinga tabia zote mbaya mtoto anazozianza na sio kuziendeleza... Kuna imani kwamba mtoto anapozaliwa huwa ni blank slate (Tabula Rasa) yaani ni kama ubao, tabia anajifunza kutoka kwenye jamii, wazazi na watu wanaomzunguka