Mtoto kaibiwa baiskeli

Mtoto kaibiwa baiskeli

fired

Senior Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
151
Reaction score
311
Mtoto mmoja aliibiwa Baiskeli yake akaenda Police, akaulizwa unahisi ni nani aliekuibia?

Mtoto akajibu: = Nahisi ni WAZAZI wangu,

Police wakamuuliza kwanini unawashuku?

Akajibu: = Jana usiku nilimsikia Mama akimuuliza Baba vipi IMESIMAMA? Baba akamjibu ndiyo PANDA BASI! Ikalie uichochee kama jana! Ghafla nikamsikia Mama akilia aaah! aaah! oooh oooh! Itakuwa walianguka nayo!

Police mbavu hawana. 😂😂😂
 
Mtoto mmoja aliibiwa Baiskeli yake akaenda Police, akaulizwa unahisi ni nani aliekuibia?

Mtoto akajibu: = Nahisi ni WAZAZI wangu,

Police wakamuuliza kwanini unawashuku?

Akajibu: = Jana usiku nilimsikia Mama akimuuliza Baba vipi IMESIMAMA? Baba akamjibu ndiyo PANDA BASI! Ikalie uichochee kama jana! Ghafla nikamskia Mama akilia aaah! aaah! oooh oooh! Itakuwa walianguka nayo!

Police mbavu hawana. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom