Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongelea nn kwani
KatambiUnaongelea nn kwani
Now atakuwa amekopa nyama ya mbuzi,ili amuibie mzee baadae.Jamaa huwa ananichekeshaga sana yaani Baba yake akiwa nje ya Dar es Salaam nae huwa anaunyuti, ila akirejea tu utaona anavyotutumuka mno.
Wewe kenge ebu tulia ,una mdomo mkubwa utafikiri taco la huyo Bashite unayemteta hapaKama ukiwa huna Uhakika na Jambo au pengine hata hulijua hata Kunyamaza pia ni sehemu ya Busara na Hekima kuliko Kukurupuka kama hivi.
MakondaSawa kama kweli
[emoji38][emoji38]usijichambe mkuuHebu Wapishe wenye Akili za haraka wauchangie huu Uzi tafadhali na Wewe mwenye Panzi Brain na Pua yako Kubwa kama Tairi uwe Mtazamaji tu.
Huyo gentamycine ana stress za kuachwa, tumeshamzoeaNaona umelishwa za uso na mtu anaejadili wanaume wenzie.
Btw thanx
Unafki katika ubora wake.Mwaka wa uchaguzi huuView attachment 1483405
Mwaka wa uchaguzi huuView attachment 1483405