Mtoto kujishika kwenye sehemu yake ya haja ndogo

I need to know your gender please?

It seems you are a girl,but in your profile you introduce yourself as a male.
 
Kampimishe U T I huenda ndo inamsababisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mtoto ana maradhi, Kw lugha nyepesi Kama mtoto haja Tahitiwa/Toharra,, Kumaugonjwa unaitwa (Kilawalawa)...Ugonjwa huu Husumbua sana watoto, pindi tu anapo hisi muwasho mkono haubanduki kunako kibamia chake, Na kama ni wakike Hali kadhalika, pia Tatizo hilo husababishwa maranyingi kuto mfanyia mtoto usafi kwakina ktk nyeti zake, NAKAMA UMESHA MTAHIRI, basi hilo nitatizo jingine kwangu mimi sina majibu yake,, pia kwa ushauri waulize wazee wa kubwa wanaweza wakakusaidia japo ushaur
 
You can't be serious.

How comes you don't know the changes that occur in males if you are a male?
Haaaaaaa ...........
it is my first born, and please be guided that not everything you must know, other things you learn from professionals like from JamiiForums.

be careful
 
Itakua Gratification syndrome hiyo, kadiri anavokua ataacha tu....wala isikuumize kichwa ingawaje kisaikolojia kwa wazazi inakua changamoto kidogo maana siku anaweza kuwa mbele ya wageni alafu anafanya ishu kama hizo, kwahiyo relax tu as time goes on atapunguza
 
Ahaaa nakushukuru kwa ushauri ndugu yangu, ubarikiwe sana.
 
Ni hatua ya ukuaji mkuu,,mtoto akili yako huanzia mdomon yaan kila kitu akionacho hupeleka mdomon ,,then baadae huko kwa babu ,then tension yake anaihamishia wakat wa kujisaidia haja ,,,then kuna staji ya ukuaji ambapo mtoto wa kiume anaanza kumpenda mama ake na wa kike baba ake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo tatizo kitaalam linaitwaje mkuu
 
Anaweza asiwe na UTI,Mngejaribu kupima na Minyoo yawezekana akawa na Pinworms ILA ni Kawaida!!
 
Hahaaa nikafikiri mwanangu anafuata nyayo za baba yake za kufukizia mademu....kumbe ni tabia za watoto wote..[emoji23][emoji23][emoji23]

love thé love or hâte thé love.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…