Naja naja
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 747
- 1,454
I need to know your gender please?Wakuu salama,
Takriban kama wiki mbili au tatu, mtoto wangu wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu ameanza tabia ya kujishika mara kwa mara kule kwa babu wake.
Hii hutokea wakati wowote akijisikia, hata akiwa amelala na ukimvalisha kaptula ukafunga barabara utakuta ameshafungua na kujishika shika.
Tumeenda hospitali kupima kama ana UTI lakini hakuna UTI na wala kwa babu hakuna dalili yeyote ya kidonda labda kinachomuwasha.
Hii itakuwa ni nini?
Naombeni msaada wa kimatibabu na ushauri zaidi.
nawasilisha
It seems you are a girl,but in your profile you introduce yourself as a male.