Unajua shida hii mara nyingi inawakumba watoto wa familia bora ila huwezi kuikuta kwa wale watoto ambao msosi ni gombania goli,hebu karibu kumpeleka likizo mazingira tofauti na hapo.
Hapa tunajaribu kushare uzoefu tu coz tayari hospitali ushaenda na matokeo bado ni negative.Kuna watoto ambao hawapendi kula kabisa hivyo bila kuwa mkali utasumbuka sana nakumbuka nilikuwa na jirani yangu baba na mama mtoto anawagomea kabisa kula hivyo nasubiriwa mm nitoke kijiweni SAA 5usiku maana bachelor narudi muda naotaka,then nawakuta wananisubiri niwalishie mtoto na nikifika bila ukali namlisha habakizi hata kidogo.Hiyo hebu jaribu kuwa mbunifu tu unaweza pata solution.
Sent using Jamii Forums mobile app
*******
Ahsante bachelor sugu ingawa kwa muda huu bado yuko kwenye familia ya kawaida sana, lakini wacha tujaribu njia zote, ahsante sana kwa ushauri na hongera ulifanya kazi nzuri kuwaokolea mtoto, maana inakuwa shida akiuugua.