Mtoto kukataa kula


*******
Ahsante bachelor sugu ingawa kwa muda huu bado yuko kwenye familia ya kawaida sana, lakini wacha tujaribu njia zote, ahsante sana kwa ushauri na hongera ulifanya kazi nzuri kuwaokolea mtoto, maana inakuwa shida akiuugua.
 
*******
Ahsante bachelor sugu ingawa kwa muda huu bado yuko kwenye familia ya kawaida sana, lakini wacha tujaribu njia zote, ahsante sana kwa ushauri na hongera ulifanya kazi nzuri kuwaokolea mtoto, maana inakuwa shida akiuugua.
Poa mkuu yaani changamoto za malezi ya watoto ni nyingi mno,maana ww unahangaika wako hataki kula wakati kuna mdogo wangu huyo yy tulikuwa tunahangaika kumzuia asile yaani mnamkamata mikono mnamtoa kwenye sahani mpaka mgeni akiwakuta anaweza akawahisi vibaya ila yote ni kwa kuwa ilikuwa TOO MUCH.
Imagine mtoto wa STD 2 ana kilo zaidi ya 50 na sio km anaumwa!Pirika zake sio kidogo akilala ndo utajua kuwa amepirikika kiasi gani mchana.

All the best mkuu tuko pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muulize daktari kama kuna umuhimu wa mtoto kutumia Vitamin B complex Kama tatizo ni kubwa. Itampa hamu ya kula.
 
Kuna mtoto alikuja holiday kitaa kutoka majuu, hivyo alikuwa mvivu wa kula. Madogo ya huku kwetu hayakuelewa dogo anazembea mayai na sausages.
 
Huenda ukawa mlezi mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimpe chakula siku nzima njaa itamuuma mwenyewe tu atakula, inawezekana mna walisha milo 8 kwa siku watoto [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…