Mtoto kulala sana

Mtoto kulala sana

mountain

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
757
Reaction score
311
Habarini ,naomben ushauri mwanangu tangu amezaliwa ana wiki mbili .alikuwa analala vizur na kunyonya vizur..sasa kuanzia jana ameanza kulala saaana zaid ya masaa matano na kuamka ukimnyonyesha atanyonya then analala,hapo hapo...sasa leo nmeona kama amenyong'onyea ...tatizo ni nn .?
 
Hakuna tatizo ni mabadiliko tu. Mtoto anapokuwa mdogo/mchanga kwa lugha nyingine, analala masaa mengi au marefu zaidi. Ukiona anakaa macho tu hilo ni tatizo. Atajenga mwili vizuri kama siyo unene kabisa.
 
Back
Top Bottom