Mtoto kutembea uku akichapia mguu mmoja

Mtoto kutembea uku akichapia mguu mmoja

paka chongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2016
Posts
248
Reaction score
193
Habari za muda,

Niende kwenye kuonba msahada mtoto wangu kwa sasa ana umri wa miaka 3 ila kuna hali inayo mtokea nimeshidwa kutambua nini naomba kufahaam mtoto kucha tembea uku akichapia mguu mmoja ambao ni wakulia mwanzo niliona labda atakuwa ameumia kwa michezo ikapita miez kama miwili akawa yuko fresh ila leo imejirudia tena
 
Habari,
Kwa jinsi ya maelezo yako ni kuwa mtoto alizaliwa na akaanza kutembea vizuri, ila kuna wakati ulimwona na tatizo husika baadaye likaisha na sasa umeliona tena?

Kama ni hivyo: kitu unachokieleza kinaitwa foot drop. Hii hutokea pale ambapo mtu ana matatizo ya misuli au mshipa wa fahamu inayohusika na ku-control mfumo wa mwenendo wa mguu. Hivyo, inawezekana mtoto aliumia hapo kabla na sasa ametonesha tena. Eneo linaweza kuhusisha upande wa kiuno mpaka mguu husika.

Ni vizuri kumfikisha kwa wahudumu wa afya ili kumkagua na kukupa ushauri zaidi.
 
Back
Top Bottom