Mtoto kutoka na haja ndogo bila kujizuia

mzalendo 1

Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
22
Reaction score
8
Niende moja kwa moja kwny point, mtoto wangu mweny miak 4 anatokwa na mkojo, yan anahisi kutokwa na mkojo akitaka kuvua nguo mkojo tayar unamtoka,na usiku hujikojea mpk mar 3 je atakuw na tatizo au hali ya hewa, mwanzon hakuwa hivyo
 
Mkuu huyo mtoto inaelekea anabana sana mkojo hivo anakuja kukuambia kuwa anataka kukojoa tayari unakuwa upo mlangoni.

Mwambie asibane mkojo kwa muda mrefu ili asipate hiyo adha.
 
Nashukuru mkuu ila befor alikuwa anakojoa mwenyw bila kutoa taarifa
 
Niende moja kwa moja kwny point, mtoto wangu mweny miak 4 anatokwa na mkojo, yan anahisi kutokwa na mkojo akitaka kuvua nguo mkojo tayar unamtoka,na usiku hujikojea mpk mar 3 je atakuw na tatizo au hali ya hewa, mwanzon hakuwa hivyo
Kampime UTI mkuu
 
Hilo tatizo hata mm lilishawahi kunipata pindi na miaka 13 mkojo ukinifika siwezi kuuzui unanitoka hapo hapo kama umenibana sana nikawa napotezea siku zinavyozidi hali tete mikojo ikijitunga tu unanitoka bila taarifa, nikapelekwa hospital nikapewa dawa tatizo likakoma hadi leo.
lakini chazo cha hilo tatizo ni kuhifadhi mkojo muda mrefu bila kujisaidia.
How old are yu[emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom