Mtoto kuzaliwa na Mzazi kufariki kuna ukweli wa hili jambo?

Mtoto kuzaliwa na Mzazi kufariki kuna ukweli wa hili jambo?

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,559
Reaction score
12,518
Hivi kunaweza kuwa na chembe chembe za ukweli kwa wale wajuzu wa mambo kuwa kuna watoto wanazaliwaga na hali fulani kuwa ili waishi nilazima mzazi mmoja afe , unakuta kipindi mtoto anazaliwa either baba au mama atafariki kwa namna yoyote ile. Najua inaweza kuwa storI ya kijiweni lakini embu mwenye uelewa atie neno
 
Everything has a price to pay...
if magic involved
 
Kwamba inawezekana alipatikana kwa maagano fulani ya nguvu flani flan zinadai malipo
 
Hamna lolote hapo mganga atakuwa amemisi supu ya kuku wa kienyeji!
Nishaanza kukusanya matunguli kuwa mganga wa kienyeji ili niwe najitafunia visusio vya Ke kimasihara kwa kigezo cha masharti dawa zifanye kazi vizuri 💪

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
It’s possible kabisa uliza madaktari nishawahi kukutana na iyo case katika kupitapita uku dunia
 
Back
Top Bottom