shangwe shangwe
Senior Member
- Oct 17, 2012
- 108
- 24
Ndugu zangu naomba ushauri, mtoto wangu anawiki moja tangu azaliwe,analia kwanguvu mara kwa mara. Akisha lia tu,hujisaidia haja kubwa. Pia hutikiswa mara kwa mara(hustuka). Nisaidieni kwa ushauri.
Kulia ni kutokana na gas inamsumbua tumboni,anapojisaidia anapata ahueni,kuhusu kushtuka ni mchango dada angu huo,tena kama ni wa kiume hua wanasumbua sana,tafuta wazee wa kabila lako watakusaidia dawa za kiasili,pole sana.
Ndugu zangu naomba ushauri, mtoto wangu anawiki moja tangu azaliwe,analia kwanguvu mara kwa mara. Akisha lia tu,hujisaidia haja kubwa. Pia hutikiswa mara kwa mara(hustuka). Nisaidieni kwa ushauri.
Ndugu zangu naomba ushauri, mtoto wangu anawiki moja tangu azaliwe,analia kwanguvu mara kwa mara. Akisha lia tu,hujisaidia haja kubwa. Pia hutikiswa mara kwa mara(hustuka). Nisaidieni kwa ushauri.
Hapa natofautiana na wewe kumlaza kwa tumbo inampa nafuu zaidi.Pia utakapomuweka begani muweke kwa muda mrefu hata robo saa ili atoe gesi hata zaidi ya mara moja.Kulia ni kawaida na haja pia .. tumbo huwasumbua sana watt wachanga..epuka kumlazia tumbo kwa ushauri zaidi.
Sikubaliani naww hata kidogo kuhusu kumlazia tumbo. Hata mimi watt wangu nilizoea hivyo! ila nilipokuja kuzalia kwa wenzetu baada ya kutoka hospital unapewa ushauri na masharti... kubwa ni hilo la kutokumlazia mtoto tumbo.Hapa natofautiana na wewe kumlaza kwa tumbo inampa nafuu zaidi.Pia utakapomuweka begani muweke kwa muda mrefu hata robo saa ili atoe gesi hata zaidi ya mara moja.