shangwe shangwe
Senior Member
- Oct 17, 2012
- 108
- 24
- Thread starter
- #21
Nawashukuru sana wote mlionipa ushauri. Mungu awa bariki sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu naomba ushauri, mtoto wangu anawiki moja tangu azaliwe,analia kwanguvu mara kwa mara. Akisha lia tu,hujisaidia haja kubwa. Pia hutikiswa mara kwa mara(hustuka). Nisaidieni kwa ushauri.
kisa eti hilo jina ulilomchagulia halitaki. Nilichoka nilipoyasikia haya ya mtoto asiyejua chochote kukataa jina, hivi lakini hapa hakuna kaushirikina f'lani?"mara utaambiwa mtafutie jina la kilugha"