Mtoto mchanga analia sana

Mtoto mchanga analia sana

Ndugu zangu naomba ushauri, mtoto wangu anawiki moja tangu azaliwe,analia kwanguvu mara kwa mara. Akisha lia tu,hujisaidia haja kubwa. Pia hutikiswa mara kwa mara(hustuka). Nisaidieni kwa ushauri.

Mpe jina la bibi kama wa kike au babu kama wa kiume
 
by figganigga
"mara utaambiwa mtafutie jina la kilugha"
kisa eti hilo jina ulilomchagulia halitaki. Nilichoka nilipoyasikia haya ya mtoto asiyejua chochote kukataa jina, hivi lakini hapa hakuna kaushirikina f'lani?
Nashukuru lakini kwa sasa mambo shwari.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom