Ndugu zangu naomba ushauri, mtoto wangu anawiki moja tangu azaliwe,analia kwanguvu mara kwa mara. Akisha lia tu,hujisaidia haja kubwa. Pia hutikiswa mara kwa mara(hustuka). Nisaidieni kwa ushauri.
kisa eti hilo jina ulilomchagulia halitaki. Nilichoka nilipoyasikia haya ya mtoto asiyejua chochote kukataa jina, hivi lakini hapa hakuna kaushirikina f'lani?
Nashukuru lakini kwa sasa mambo shwari.