JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Pole kwa familia ya mbungeMtoto mchanga aliyeachwa na marehemu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama amefariki dunia jana Aprili 30, 2022.
Mtoto huyo amefariki baada ya kuishi kwa siku saba tangu kuzaliwa kwake, Mbunge Irene alifariki dunia Aprili 24, 2022, katika Hospitali ya Tumbi wakati akipatiwa matibabu baada ya kujifungua mtoto huyo.
Source: East Africa TV
Acha fix mkuu hakunaga manjangunjangu ya namna hii! Huwa ni fahari kwa mzazi kuacha mtoto duniani kwani huyo mtoto hakuwa na baba mpaka akose wa kumlea..?Baada ya Mama kuitwa, akaogopa kuhusu maisha ya kachanga chake, katalelewa na nani?. Akaogopa katateseka akaamua kukaita na kwenda nacho kichanga chake.
Najua wengi hawalijui hili
Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!
Wanabodi, Kifo cha Ephraim Kibonde kimeibua simanzi kubwa kwa sababu katika uhai wake hakuwahi kuugua, amekufa ghafla, hivyo watu kubaki na maswali mengi. Katika bandiko la Tribute to Kibonde, kuna mwana JF kaandika maneno haya kumhusu Kibonde. Sikumfahamu zaidi ya kumuona kwenye Mkasi...www.jamiiforums.com
Naamini family itakalaza ubavuni kwa mama yake alipolazwa.
Rip Mbunge, Mama na Mwana
P
Japo nakubaliana na ww mambo mengi Ila hapo BIG NOBaada ya Mama kuitwa, akaogopa kuhusu maisha ya kachanga chake, katalelewa na nani?. Akaogopa katateseka akaamua kukaita na kwenda nacho kichanga chake.
Najua wengi hawalijui hili
Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!
Wanabodi, Kifo cha Ephraim Kibonde kimeibua simanzi kubwa kwa sababu katika uhai wake hakuwahi kuugua, amekufa ghafla, hivyo watu kubaki na maswali mengi. Katika bandiko la Tribute to Kibonde, kuna mwana JF kaandika maneno haya kumhusu Kibonde. Sikumfahamu zaidi ya kumuona kwenye Mkasi...www.jamiiforums.com
Naamini family itakalaza kachanga halo, ubavuni kwa mama yake alipolazwa.
Rip Mbunge, Mama na Mwana
P
kwani kuna binaadam wengn huzaliwa na asiekua mwanamke?Mwanadamu aliyezaliwa na Mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, nazo zimejaa tabu na shida.
Bwana alitoa Bwana Ametwaa Jina lake lihimidiwe...Ameen.