mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
OvaWanakufa vichanga wengi na akina mama kwa huduma mbovu za afya kila siku nchi nzima. Kwanini hii ya huyo mbunge ndio iwe habari?
Tubadilike Watanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OvaWanakufa vichanga wengi na akina mama kwa huduma mbovu za afya kila siku nchi nzima. Kwanini hii ya huyo mbunge ndio iwe habari?
Tubadilike Watanzania.
Ndio kama Adam na hawakwani kuna binaadam wengn huzaliwa na asiekua mwanamke?
Imejaa kiimani Zaidi...Kuna mtoto namfahamu alipozaliwa tu mama yake alifariki...but halo katoto mpaka Leo kanadunda kama miaka kama miwili hv now...Baada ya Mama kuitwa, akaogopa kuhusu maisha ya kachanga chake, katalelewa na nani?. Akaogopa katateseka akaamua kukaita na kwenda nacho kichanga chake.
Najua wengi hawalijui hili
Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!
Wanabodi, Kifo cha Ephraim Kibonde kimeibua simanzi kubwa kwa sababu katika uhai wake hakuwahi kuugua, amekufa ghafla, hivyo watu kubaki na maswali mengi. Katika bandiko la Tribute to Kibonde, kuna mwana JF kaandika maneno haya kumhusu Kibonde. Sikumfahamu zaidi ya kumuona kwenye Mkasi...www.jamiiforums.com
Naamini family itakalaza kachanga halo, ubavuni kwa mama yake alipolazwa.
Rip Mbunge, Mama na Mwana
P