Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Habari madoctors!! Mwanangu ana wiki mbili toka azaliwe lakini ameanza kupata changamoto ya maumivu akitaka kujisaidia haja kubwa maana kanalia kakitaka kunya na pia hadi makalioni kamekuwa na rangi ya uwekundu. Naomba mwenye experience na hili suala anisaidie.