JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,011
- 1,681
Wakuu Salaam Kwenu nyote
Nina mtoto ana Miaka miwili na miezi kama minne siku za karibuni amekuwa na tatizo ambalo sijalielewa, Anakuwa na kiu sana usiku hasa majira ya saa tisa hadi 11 lazima aamke adai Mma(Maji) sijui hii itakuwa ni tatizo ama ni jambo la kawaida?
Naomba mwenye ufahamu anijuze tafadhali