Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Nimehairisha pambano nishajua wewe mtu mbaya sana
Serious....!!!!Wamuandae kwa ajili ya olimpic kwenye Mchezo wa kulenga shaba miaka ijayo
Ndo mana nilikua naku zoom tuu nikasema wewe mweupe tuu ahahahNimehairisha pambano nishajua wewe mtu mbaya sana
Walevi na ngumi wapi na wapi Kaka ,au unataka kesi tuNdo mana nilikua naku zoom tuu nikasema wewe mweupe tuu ahahah
Kuna mda lazima kuwe na mipaka aliye oa na mchepuko mkuu..ahahaWalevi na ngumi wapi na wapi Kaka ,au unataka kesi tu
Mtoto wa miaka 4 avunja kioo cha Shabiby kwa manati
Basi la Shabiby Line lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dodoma lilichelewa kwa takriban saa moja na nusu Agosti 14, 2024, baada ya mtoto wa miaka minne wa Kijiji cha Ndolela, Iringa, kuvunja dirisha la basi kwa manati kutokea upande wa pili wa barabara.
Mtoto huyo ambaye pia alisababisha kisa kama hicho hapo awali, alikimbilia kwa bibi yake baada ya usumbufu huo.
Abiria walishuka kumtafuta mtoto huyo ambaye hatimaye alipatikana amejificha. Katika tukio la awali, bibi wa mtoto huyo alilipa Sh170,000 kufidia uharibifu huo.
Basi hilo ambalo awali lilitakiwa kuwasili Dodoma saa 2:30 usiku, lilifika saa 4:15 lilipoelekea.
Ingawa hakuna abiria aliyejeruhiwa, mmoja alikwepa chupuchupu kupigwa na jiwe hilo.
Kuna wasiwasi unaoongezeka kuhusu tabia hatari ya mvulana huyo, ambayo inaweza kusababisha ajali mbaya katika siku zijazo
Credit: DJ Fetty kwa msaada wa The Citizen Tanzania
USSR
Hapo bibi kuna kitu kajifynzaWatoto wanaolelewa na bibi huwa hawanaga nidhamu
Watoto ka hao sio wa ku deal nao..Tabia mbaya kabisa. HIzo ndizo tabia baadaye tunaona kwa mi kina Awazi.
Chai hii mkuu yani njiwa na speed ile umpate aaah hapanaShabaha kwenye basi lenye ukubwa kama nyumba? Acheni bhana, wenye shabaha tulikuwa tunalenga njiwa angani akiwa kwenye spidi ya ajabu.
Yaaah mkuu ni kweli kabisaChai hii mkuu yani njiwa na speed ile umpate aaah hapana
Dogo anajua ๐๐๐๐catapult target ๐ฏUna mpamba dogo sio
Kuna watu hawapo seriously...Shabaha kwenye basi lenye ukubwa kama nyumba? Acheni bhana, wenye shabaha tulikuwa tunalenga njiwa angani akiwa kwenye spidi ya ajabu.
No no nakataa mkuuDogo anajua ๐๐๐๐catapult target ๐ฏ
Haha sio wotewatoto wa bibi
Dogo mmoja anaitwa Goodluck alikua anashabaha za ajab yaan akilenga imo wengine tumeshuhudia na pia tume piga manati sanaaa..Chai hii mkuu yani njiwa na speed ile umpate aaah hapana
Ahahaha daaahKioo cha upande upi?
Hilo Basi halikua na Bima?
Kuna mwingine alikua anaitwa omaryDogo mmoja anaitwa Goodluck alikua anashabaha za ajab yaan akilenga imo wengine tumeshuhudia na pia tume piga manati sanaaa..