Mtoto mzuri Alicios Theluji yuko wapi siku hizi?

we mkuu kipindi cha mpita njia mm mdada.
uyu dada yuko instagram uko hana followers wengi.
ni mwanadada makini sana anapendwa na rika zote. mama angu humwambii kitu na "Anita" uko kwa ringtone yake mwaka wa ngapi sijui tangu utoke.
mm naupenda " Beloved by You" & "Posa ya Bolingo"
uyu dada kanifanya niimbe kilingala[emoji7]
ana ladha ya pekee mana mziki wake utakuta English/swahili/Kilingala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi hicho ulikuwa binti mbichi kabisa, nakukumbuka sana dada, nikikumbuka michezo ya utotoni mimi na wewe, basi mimi hoi [emoji39]
 
Huo wimbo umenikuta mzee tayari. Imagine..[emoji3][emoji3]
Ndio maana nimemuuliza pia ana umri gani ... Maana wimbo unatoka tushakuwa na miji yetu na viumbe kutoka viunoni mwetu.
 
Chura anayo kaka, sema chura wake ni chura fulani adimu, huwezi kumpata kokote, yeye ana chura wa bwawa la kihansi.
Isitoshe anavyo vingi vya kuvutia, - sauti tamu
- umbo malidhawa kabisa lile [emoji41]
Una balaa wewe mtoto, i wish siku moja nikuone.
 
Sipaswi hata kushangaa kwenye huu uzi,maana sipaswi hata kusimama hapa.

Hata hiyo simu unatumia itakuwa ni ya mama yako.
 
Sipaswi hata kushangaa kwenye huu uzi,maana sipaswi hata kusimama hapa.

Hata hiyo simu unatumia itakuwa ni ya mama yako.
Hujakosea mkuu, hapa natumia simu ya mama kipenzi
 
Kweli ni fala
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…