Mtoto mzuri Alicios Theluji yuko wapi siku hizi?

Amenitesa sana huyu binti napenda sana wa type hiyo hasa style yake ya nywele ila ikitokea napiga mshindo wa mabilion katika hii dunia lazima nihakikishe nammwaga maji hata akiwa m bibi ila naona amezaa namfuatiliaga insta naona kuna jamaa don yuko nae
 
Mabilioni yanatafutwa tu mkuu!
Cha msingi ni kuweka mitego ya kuyanasa tu.
Unaweza usiyanase mabilioni kama mabilioni, ila ukanasa hata nusu yake.
Cha msingi ni mitego.
 
Kwel mkuu ngoja tuchakarike nakubal sana
 
IMG_20191217_205547.jpg
 
Back
Top Bottom