Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Sijawahi kumuambia aiseeHukumwambia mkeo??? 😀 😀 😀 😀
bhasi andaa nguvuu maana sio kwamba hajui mpaka sasa 😀 😀 😀Sijawahi kumuambia aisee
Vipi tenaTUMBAVU
Daah ni noma sana mkuu Mimi nilishasahau hizi habari zake huyu demu halafu anajifanya kama Hana habari na anachokifanyabhasi andaa nguvuu maana sio kwamba hajui mpaka sasa 😀 😀 😀
NimejengaHama mtaa.
Ndiyo maana tangu uwe JF unaweweseka sana kama bata kapopolewa kichwani.Fanya mpango urekebishe uoga wako na umlee mtoto.Wanajamvi aisee ni noma nilimKataa mtoto miaka kama minne imepita Sasa ubaya Leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu mtoto anafanana na Mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo Bora asingefanana na Mimi ni noma maana inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka nishaurini nifanyaje wadau
Utavuna ulichopandaWanajamvi aisee ni noma nilimKataa mtoto miaka kama minne imepita Sasa ubaya Leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu mtoto anafanana na Mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo Bora asingefanana na Mimi ni noma maana inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka nishaurini nifanyaje wadau
Dah hii ishakua noma Sana ubaya anakuja duka la mdogo wangu kununua bidhaaNdiyo maana tangu uwe JF unaweweseka sana kama bata kapopolewa kichwani.Fanya mpango urekebishe uoga wako na umlee mtoto.
NB;Wezi hawana maana.
DuhUtavuna ulichopanda
Aah hiyo noma ubaya dogo ni WA kiumeMwambie mkeo kuwa kumbe watu wanafanana sana
Anza kujipendekeza.Kurudia kosa ndiyo kosa.Dah hii ishakua noma Sana ubaya anakuja duka la mdogo wangu kununua bidhaa
Kweli kabisa...Sema usije ukakataa mtoto hata Kama upo broke mkubali kuna nguvu unipoteza ambayo Inge-flow ktk kazi zako.