Mtoto niliyemkataa miaka 4 iliyopita, anafanana na mimi. Sasa ameletwa karibu na ninapoishi

Mtoto niliyemkataa miaka 4 iliyopita, anafanana na mimi. Sasa ameletwa karibu na ninapoishi

Uweeeeeeeeeeeeeeee...!!! Viroba vyenye watoto huko majalalani huwa vinatupwa na wanawake. Huko ndo kuwakataa kwenyewe..!!
Tena bora sisi wanaume tunakataa tu kulea,na swala la malezi hata serekali inaweza waleya, lakini wenzetu wao kukataa kwao ni kuuwa vichanga au kufanya abortion! Wanawake ni viumbe hatari sana kuliko wanaume!!
 
Ni dhambi ila tatizo mke wangu ni wale wanawake ambao hata kama nikimuambia huyo dogo hatoishi Kwa amani mtaani
Mke wako ana matatizo, kwa hiyo mtoto amemkosea nini? Mtu ambaye anakataa damu yake sijui ni kiumbe wa aina gani, unamkatili mtoto kumjua baba yake.
Mkae mkijua kwamba, mapenzi yanaisha, na ndoa zinavunjika ila mwanao atabaki kuwa mwanao.
 
Wanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.

Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni.

Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo bora asingefanana na mimi, ni noma.

Inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka.

Nishaurini nifanyaje wadau.
kimsingi unahitaji msaada
kwa kuwa una matatizo ya akili
 
Tulia kama umelamba sumu. jifanye huna moja.

Na siku mkeo ajue kwa kizazi hiki ujue huna ndoa.
 
Usikatae damu yako huenda hao unaowaona wanao wakakutupa lakini huyo akaja kuwa msaada kwako baadae
 
Tulia kama umelamba sumu. jifanye huna moja.

Na siku mkeo ajue kwa kizazi hiki ujue huna ndoa.
Si bora ndoa ivunjike tu, siwezi chagua ndoa nikaacha damu yangu, hiyo haipo. Ndoa huvunjika ila damu yako na yako tu.
 
Mkuu hii vita ni yako pambana nayo hakikisha unashinda omba. Omba tena game kukumbushia bandua kampangie mbali ukoo kisha unamfungulia kibiashara awe busy kabisa
Chezen na wanawake bila kutumia akili😅
 
Mwanaume umepewa upeo mkubwa sana wa kudadavua mambo.


Simama imara hakikisha mtoto anatambua uwepo wako(kuwa ww ni baba yake) pasi na kuvuruga familia yako nyumbani.
 
Yani mimi mwanangu asinijuekisa ndo,that is no.

Mke wangu ajue aelewe kuwa nina mtoto,yani siwezi kuacha mwanangu akae aumie kisa makes yangu ya nyuma.

Vaa viatu vya huyo mwanao.
 
Acha utoto kijana, unakataa damu yako kisaa mwanamke atasemaje ?..hudumia huyo mtoto mpe sapoti mama yake acha ushetani.
 
Back
Top Bottom