FEBIANI BABUYA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 1,916
- 3,850
Moja kati ya vitu vya mhimu ambavyo nimejifunza kwenye maisha yangu ni kwamba; haijalishi upo kwenye mazingira gani au unapitia vitu gani ila mwanaume ukiwa na uhakika tu kwamba damu ni yako basi abadan usije ukamkataa mtoto au damu yako!