Mtoto niliyemkataa miaka 4 iliyopita, anafanana na mimi. Sasa ameletwa karibu na ninapoishi

Jifunze mwanaume unapotoka nje ya ndoa yako hakikisha mwanamke unaetoka nae yupo nawe kimaslahi tu maana huo ndo uhalisia, binti anapotoka na mume wa mtu means yuko kimaslahi na si mapenzi kama ilivyo tu kwa huyo mwanaume anachepuka kitimiza haja zake tu na si vinginevyo. Ukiona mchepuko ameanza kukupenda kweli kimbia haraka hapo atakuletea matatizo maana wanawake akipenda yuko tayari kurisk chochote.
Daah kweli mkuu
 
Unachokifanya ni jambo baya sana hasa kwa upande wako.

Nielekezeni namna ya kupandisha uzi hapa nije niwaletee stori fupi inayohusu jinsi ambavyo kipindi mama yangu anafariki niligombaniwa na pande mbili wote wakidai mimi ni mtoto wao.

Ila maajabu upande mmoja baada ya miaka 10 tangu kifo cha mama ulinikataa kuwa siyo mtoto wao licha ya kuwa nami nilikuwa nikijua hilo ila nilienda tu ili nipate msaada wa kusomeshwa.

Upande mwingine niliamini ndiko kwetu lkn nilikuwa sitaki wala sikubali kwenda kwakuwa baada ya kumzika mama yangu wao walinitelekeza kabisa hata salamu tu sikuwa nikizipata.

Ikumbukwe kuwa mama yangu alifariki nikiwa na umri wa miaka 9.
Baadae nilipambana mpaka nikaja kujisomesha mwenyewe ktk umri wa miaka 25 ndio nikaanza F1.

Kipindi ninahitimu chuo,yule niliyekuwa nikiamini kuwa ndiye baba yangu aliugua na alikuwa akinihitaji sana,bado nikagoma licha ya kwamba alianza kunifuatilia miaka na miaka nyuma.

Mwishowe alimuambia mdogo wangu kuwa mimi siyo mtoto wake bali alikuwa ananihitaji kwakuwa nilizaliwa mikononi mwake,yaani alimuoa mama akiwa na ujauzito wa miezi miwili.

Sababu ya pili ni kwakuwa mimi ni mtoto wa kiume ndiyo maana alinihitaji sana.

Kwa sasa mimi nimuajiriwa,ninapata riziki kiasi,inanisaidia kutimiza majukumu yangu kama baba na mlezi wa boys wangu.
 
Ningekuwa mimi ningeita wazee wawili watatu wenye hekma, niwaambie ukweli kisha kwa pamoja tukampange wife, asipo elewa ndo basi tena lakini siwezi acha damu yangu iteseke kwa kukosa baba ikiwa bado nipo hai.

Kumbuka watoto ndio ndugu zako wa damu huyo mkeo mlikutana ukubwani tu.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa anazingua, siwezi kumkana mtoto. Huyo ndiye ndugu yangu.
 
Unachokifanya ni jambo baya sana hasa kwa upande wako.

Nielekezeni namna ya kupandisha uzi hapa nije niwaletee stori fupi inayohusu jinsi ambavyo kipindi mama yangu anafariki niligombaniwa na pande mbili wote wakidai mimi ni mtoto wao.

Ila maajabu upande mmoja baada ya miaka 10 tangu kifo cha mama ulinikataa kuwa siyo mtoto wao licha ya kuwa nami nilikuwa nikijua hilo ila nilienda tu ili nipate msaada wa kusomeshwa.

Upande mwingine niliamini ndiko kwetu lkn nilikuwa sitaki wala sikubali kwenda kwakuwa baada ya kumzika mama yangu wao walinitelekeza kabisa hata salamu tu sikuwa nikizipata.

Ikumbukwe kuwa mama yangu alifariki nikiwa na umri wa miaka 9.
Baadae nilipambana mpaka nikaja kujisomesha mwenyewe ktk umri wa miaka 25 ndio nikaanza F1.

Kipindi ninahitimu chuo,yule niliyekuwa nikiamini kuwa ndiye baba yangu aliugua na alikuwa akinihitaji sana,bado nikagoma licha ya kwamba alianza kunifuatilia miaka na miaka nyuma.

Mwishowe alimuambia mdogo wangu kuwa mimi siyo mtoto wake bali alikuwa ananihitaji kwakuwa nilizaliwa mikononi mwake,yaani alimuoa mama akiwa na ujauzito wa miezi miwili.

Sababu ya pili ni kwakuwa mimi ni mtoto wa kiume ndiyo maana alinihitaji sana.

Kwa sasa mimi nimuajiriwa,ninapata riziki kiasi,inanisaidia kutimiza majukumu yangu kama baba na mlezi wa boys wangu.
Dah!
 
Back
Top Bottom