Mtoto niliyemkataa miaka 4 iliyopita, anafanana na mimi. Sasa ameletwa karibu na ninapoishi

Moja kati ya vitu vya mhimu ambavyo nimejifunza kwenye maisha yangu ni kwamba; haijalishi upo kwenye mazingira gani au unapitia vitu gani ila mwanaume ukiwa na uhakika tu kwamba damu ni yako basi abadan usije ukamkataa mtoto au damu yako!
 
Wanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.

Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni.

Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo bora asingefanana na mimi, ni noma.

Inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka.

Nishaurini nifanyaje wadau.
Hama Mtaa
 
Nilishampaga million 1 mwaka 2020 nikamuambia tusijuane ila demu naona anafanya kama kunikomoa karudi tena huu mtaa
Wewe ukipewa million moja inatosha kulea mtoto kwa miaka minne?
Wanaume sijui mnawazaga kwa kutumia mapumbu🚮
 
Pambana na hali yako. Wakati unakata viuno si ulikuwa mwenyewe. mchumia janga.....
 
Wewe ukipewa million moja inatosha kulea mtoto kwa miaka minne?
Wanaume sijui mnawazaga kwa kutumia mapumbu🚮
Yani hili jibu lake ndo lilinichefua chefuuuuu
Eti nilimpa million 1. Kama milioni inaweza kulea mtoto aiweke mezani aone oke aone kama italea mimba, itanyonyonyesha mtoto, itamfulia, itamsomesha, akiumwa itambeba kwenda hospitali na huduma nyingine.
Wanaume wakati mwingine wana kuwa wabinafsi sana linapokuja swala LA mimba na mtoto
 
Mimi kudinya dinya huko nje wakati Nina ndoa hapana labda ndoa iwe ktk mgogoro,
Yani hili jibu lake ndo lilinichefua chefuuuuu
Eti nilimpa million 1. Kama milioni inaweza kulea mtoto aiweke mezani aone oke aone kama italea mimba, itanyonyonyesha mtoto, itamfulia, itamsomesha, akiumwa itambeba kwenda hospitali na huduma nyingine.
Wanaume wakati mwingine wana kuwa wabinafsi sana linapokuja swala LA mimba na mtoto
Dah mbona mnaniponda naongea uhalisia au mlitaka nisisime ukweli
 
Wanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.

Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni.

Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo bora asingefanana na mimi, ni noma.

Inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka.

Nishaurini nifanyaje wadau.
Mkuu hii vita ni yako pambana nayo hakikisha unashinda omba. Omba tena game kukumbushia bandua kampangie mbali ukoo kisha unamfungulia kibiashara awe busy kabisa
 
Ndugu iyo ndo maana halisi ya UBAYA UBWELA . umbea utamfikia .mkeo mbona ndoa itavunjika aisee, u gekuwa umepanga ungehama chap, aya mtt anatumia jina gani la baba kama lako unekwisha
 
Dah mbona mnaniponda naongea uhalisia au mlitaka nisisime ukweli
Me nimejibu kwa ujumla boss wangu. Sikuwa na attack personally ndo maana mwisho nikatoa general statement kwamba wanaume mostly ni wabinafsi. Ila pia kama unaumia hii ni alarm kwamba u did a very wrong thing ... So hupaswi kuchukia Ila kutubu na kuchukua hatua. Angalia hata wanaume wenzako wanavyoandika.
Kama umekwazika na maandishi yangu naomba nisamehe bure.
 
Me nimejibu kwa ujumla boss wangu. Sikuwa na attack personally ndo maana mwisho nikatoa general statement kwamba wanaume mostly ni wabinafsi. Ila pia kama unaumia hii ni alarm kwamba u did a very wrong thing ... So hupaswi kuchukia Ila kutubu na kuchukua hatua. Angalia hata wanaume wenzako wanavyoandika.
Kama umekwazika na maandishi yangu baomba nisamehe bure.
Daah sawa
 
Wanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.

Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni.

Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo bora asingefanana na mimi, ni noma.

Inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka.

Nishaurini nifanyaje wadau.
Cha msingi mtunze ni Mtoto wako.
 
Back
Top Bottom