Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Ookey hapo sawa...Uweeeeeeeeeeeeeeee...!!! Viroba vyenye watoto huko majalalani huwa vinatupwa na wanawake. Huko ndo kuwakataa kwenyewe..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ookey hapo sawa...Uweeeeeeeeeeeeeeee...!!! Viroba vyenye watoto huko majalalani huwa vinatupwa na wanawake. Huko ndo kuwakataa kwenyewe..!!
Tena bora sisi wanaume tunakataa tu kulea,na swala la malezi hata serekali inaweza waleya, lakini wenzetu wao kukataa kwao ni kuuwa vichanga au kufanya abortion! Wanawake ni viumbe hatari sana kuliko wanaume!!Uweeeeeeeeeeeeeeee...!!! Viroba vyenye watoto huko majalalani huwa vinatupwa na wanawake. Huko ndo kuwakataa kwenyewe..!!
Mke wako ana matatizo, kwa hiyo mtoto amemkosea nini? Mtu ambaye anakataa damu yake sijui ni kiumbe wa aina gani, unamkatili mtoto kumjua baba yake.Ni dhambi ila tatizo mke wangu ni wale wanawake ambao hata kama nikimuambia huyo dogo hatoishi Kwa amani mtaani
kimsingi unahitaji msaadaWanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.
Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni.
Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo bora asingefanana na mimi, ni noma.
Inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka.
Nishaurini nifanyaje wadau.
Si bora ndoa ivunjike tu, siwezi chagua ndoa nikaacha damu yangu, hiyo haipo. Ndoa huvunjika ila damu yako na yako tu.Tulia kama umelamba sumu. jifanye huna moja.
Na siku mkeo ajue kwa kizazi hiki ujue huna ndoa.
Endelea.Si bora ndoa ivunjike tu, siwezi chagua ndoa nikaacha damu yangu, hiyo haipo. Ndoa huvunjika ila damu yako na yako tu.
Chezen na wanawake bila kutumia akili😅Mkuu hii vita ni yako pambana nayo hakikisha unashinda omba. Omba tena game kukumbushia bandua kampangie mbali ukoo kisha unamfungulia kibiashara awe busy kabisa
Uza nyumba! 😄Nimejenga