Mtoto niliyemkataa miaka 4 iliyopita, anafanana na mimi. Sasa ameletwa karibu na ninapoishi

Mtoto niliyemkataa miaka 4 iliyopita, anafanana na mimi. Sasa ameletwa karibu na ninapoishi

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Wanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.

Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni.

Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo bora asingefanana na mimi, ni noma.

Inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka.

Nishaurini nifanyaje wadau.
 
Wanajamvi aisee ni noma nilimKataa mtoto miaka kama minne imepita Sasa ubaya Leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu mtoto anafanana na Mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo Bora asingefanana na Mimi ni noma maana inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka nishaurini nifanyaje wadau
Ndiyo maana tangu uwe JF unaweweseka sana kama bata kapopolewa kichwani.Fanya mpango urekebishe uoga wako na umlee mtoto.
NB;Wezi hawana maana.
 
Wanajamvi aisee ni noma nilimKataa mtoto miaka kama minne imepita Sasa ubaya Leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu mtoto anafanana na Mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo Bora asingefanana na Mimi ni noma maana inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka nishaurini nifanyaje wadau
Utavuna ulichopanda
 
Kabla hajaambiwa na majirani, mwambie mwenyewe.

Inawezekana ataumia na kukawa na ugomvi lakini ni bora asikie toka kwako mwenyewe kuliko kuambiwa na walimwengu.

Kuwa kwako muwazi kwa mkeo kuende sambasamba na kurudisha mawasiliano na mwanao (sio mzazi mwenzio).
 
Back
Top Bottom