Kuna clip huwa anaimba kwamba alifurahia walipomuambia twendeee nyumbani kwa babaaa, sasa hataki kwenda tena!?Inamaana amwite kwake?
Tusifike huko mkuu, kesho yetu sote hatuijui, tuombeane mema,
hata kama alikufanyia ubaya,
😂😂😂😂😂😂😂😂♻️♻️👀👀👀😂😂Kuna clip huwa anaimba kwamba alifurahia walipomuambia twendeee nyumbani kwa babaaa, sasa hataki kwenda tena!?
Goliati alipigwa na nani vile?? Daudi??Aliyeelewa anijuze na mimi
Msiamini sana haya. Yule jamaa ni msanii mzuri sana. Kufanya usanii kama huu kwake ni kazi ndogo sana.Mpe Pole sana ,ndiyo maana simsikii.
Pia inaweza kuwa usanii. Makonda kwa usanii ni namba wani.Kuna taarifa kuwa anaumwa sana.
Ni ama amelogwa au kalishwa sumu.
Aliowachongea wameliwa kichwa.
Yule bwege anaweza kabisa kucheza usanii wa aina hii. Kuweni macho sana.Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
Ni rahisi mtu kuuwa wenzake, lakini yeye akiumwa kidogo tu hofu ya kifo humtisha sana,Kuna clip huwa anaimba kwamba alifurahia walipomuambia twendeee nyumbani kwa babaaa, sasa hataki kwenda tena!?
Hayupo chugarii?!Mpe Pole sana ,ndiyo maana simsikii.
Bashite.Utafungwa
Anatakiwa asife, bali aparalize na kuteseka sana.Unauliza ndevu kwa Osama? Mtoto pendwa alimtupa kwenye bwawa la mamba.
Ni habari njema sana kama anaumwa. Akifa nitafanya sherehe kubwa, kama niliyoifanya alipokufa jini mkuu.
Yule yuko radhi kufanya lolote ili mradi afikie lengo lake kutoa tundu yake ni kitu kidogo sana hivyo hata kufake kulishwa sumu ni ishu ndogo kwake.Msiamini sana haya. Yule jamaa ni msanii mzuri sana. Kufanya usanii kama huu kwake ni kazi ndogo sana.
Natamani hata kama apatikane mtu akamchome sindano ya sumu huko huko, apotee huyu BashiteNdio naelewa najua watapata zaidi cha kuongea na kukazia yaani me namuomba Mungu taarifa ziwe za kweli ila apone au ziwe za uzushi tu
Tambiko la wazee wa Kinyaturu lime anza kazi. One by oneMtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
Itakuwa alikufanya kitu kibaya sana mkuu pole sana lkn Mungu ndio anachagua ambalo binadamu hawezNatamani hata kama apatikane mtu akamchome sindano ya sumu huko huko, apogee huyu Bashite