chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Kuna clip huwa anaimba kwamba alifurahia walipomuambia twendeee nyumbani kwa babaaa, sasa hataki kwenda tena!?Inamaana amwite kwake?
Tusifike huko mkuu, kesho yetu sote hatuijui, tuombeane mema,
hata kama alikufanyia ubaya,