Ujumbe mzito sana,
 
Moderators huu uzi msifute ni muhimu

Wakuu tangu asubuhi kuna taarifa zinasambaa kuwa Mh Paul Makonda hupo katika hali mbaya sana hospitalini Afrika kusini akitibiwa, taarifa hizi zipo sana kule X na maeneo mengine.

Kwa kuwa JF ndio mtandao mama wa kitaifa na habari kuu zote huanzia hapa je kuna ukweli wowote kwa hili jambo ?

Inadaiwa amepewa sumu je ni kweli ?

Kama anaumwa je anaumwa nini?

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…