Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni chawa mzuri sana wa makonda bila shaka amepewa taarifa za kuumwa pia😂
Ujumbe mzito sana,Ni kweli kabisa.
Unajua maskini hua hawana visasi vikubwa sana na ni wepesi wa kusalehe na kusahau mana hawawazi mambo makubwa ya mbeleni kama matajiri.
Huwezi kusikia maskini anashangilia kifo cha mtu.
Tajiri akifa hata kama alikua na matatizo na roho Mbaya kiasi gani lakini mara nyingi maskini anaweka chuki pembeni na kwenda kumzika na hata kukesha kwenye msiba lakini Tajiri hasa mtu tajiri wa dhulma au wa uchawi hanaga kitu Msamaha au huruma .
Kuna kundi fulani la Wala nchi wanzoshirikiana na wafanyabiashara wakwepa kodi na wauza madawa. Hawa kila mpenda haki ni adui yao mkubwa . Hawa wakisikia kifo cha mtu hua hawasikitili zaidi ya kukaa na kunywa wine kwa furaha kubwa.
Ni kundi la waovu wanaoishi kwa damu za watu . Hawa ndio wanaosababisha mpaka mauaji ya albino na biashara za viungo vya binadamu.
Maskini mtoto wake anaweza akauawa,mke wake akachukuliwa na wakubwa , mtoto wake akalawitiwa na watu wenye majina makubwa lakini akanyimwa haki yake na akasamehe lakini matajiri na wakubwa wao hata kuwaambia ukweli ni kosa linalostahili mtu kufa.
Hii ni mifumo ya lishetani iliyopakwa rangi nje lakini ni kama makaburi yanayopendeza kwa kunakshiwa vizuri kwa nje lakini ndani yake kuna mifupa mitupu .
Nchi za magharibi na wazungu ni mfano wa watu waovu wanaopenda kutendewa mema tu huku wao wakiwatendea wanadamu wenzao maovu makubwa na kuwasababishia mauaji makubwa bila huruma.
Usirudie kula mapera huwa yanakausha choo kimbembe sasa ya kupupu hahaHii code ngumu Sana kufungua
AahaaaawHouse boy wake.
hahaha! watu wa suti nyeusi mnajua hamisha magori.. Poa leo weekend fanya makitu.. nikaamshe popo kijana wako njaa.. sema sasa hivi mama katibua kabisa humo ndani.. mnapigana macho hatari eeh..Dawa unatumia kwa wakati?
Chawa mweupe wewe hufai kuwemo kwenye Payroll ya Lumumba..wakuondoe tuKutibu ni swala Moja ipa Imani Kwa wanaotoa tiba ni swala jingine.
Nalvany alipoenda kutibiwa Germany ni kwamba Russia hakuna madaktari au vifaa tiba?
Ni hakika mama ameboresha sekta ya Afya kuliko yeyote kabla.