Asikilize nyimbo ya roma....toto likapewa mdori lichezeeWenye D mbili hawawez fungua hii code
We dogo uchinjwe xmas hauko sawaLeo vitengo mpo kasi na aina flani ya nyuzi.. mnafanya gathering ya information nini
Muwe mnaleta tetesi zilizo kamilika, sasa mtu kama yule kuwa hoi ndiyo mnafungua nyuzi? Mnashindwa kuvumiliapo kidogo?Moderators huu uzi msifute ni muhimu
Wakuu tangu asubuhi kuna taarifa zinasambaa kuwa Mh Paul Makonda hupo katika hali mbaya sana hospitalini Afrika kusini akitibiwa, taarifa hizi zipo sana kule X na maeneo mengine.
Kwa kuwa JF ndio mtandao mama wa kitaifa na habari kuu zote huanzia hapa je kuna ukweli wowote kwa hili jambo ?
Inadaiwa amepewa sumu je ni kweli ?
Kama anaumwa je anaumwa nini?
USSR
Huwa binadam wakianza kutangaza umekufa,fanya maandalizi. Anytime unaondoka tu. Jiwe lilianguka. Yeye nani ashindikane?Sio drama tuu hiyo? Maana DAB anaweza hata ku act amekufa ili mradi apate milage katika media.
Lakini pia kwa tabia zake hayuko salama sana ndio maana kila siku drama za manabii na mashekhe haziishi
Nani amejaribu kumuua?Ila mambo ya "kujaribu kuuana" kisa madaraka sio poa. Afu kama ni pesa wanazo..ya nini kufanya kazi ya Mungu ya kupelekana futi sita! Sio fan wa mshikaji but it's too bad if the rumors are true.
Atakuja kujibu mwenyewe, tena kanisani kama alivyofanya V.PModerators huu uzi msifute ni muhimu
Wakuu tangu asubuhi kuna taarifa zinasambaa kuwa Mh Paul Makonda hupo katika hali mbaya sana hospitalini Afrika kusini akitibiwa, taarifa hizi zipo sana kule X na maeneo mengine.
Kwa kuwa JF ndio mtandao mama wa kitaifa na habari kuu zote huanzia hapa je kuna ukweli wowote kwa hili jambo ?
Inadaiwa amepewa sumu je ni kweli ?
Kama anaumwa je anaumwa nini?
USSR
Yetu masikio na machoMtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna
Hahaha! alafu nimeshasahu kuwa kazi yako sio kukusanya taarifa, bali ni kufanya maamuzi ya taarifa zilizochambuliwa.. nikute radhi ... vipi konda boy mmemfanya nini.. najua hapo kitengo zishafika kwenye dawati lakoWe dogo uchinjwe xmas hauko sawa
Nimeiwekea hizo "..". Nami nasikia tu mkuu. Msije niita kituoni.Nani amejaribu kumuua?
Siijui na Familia za akina Ben Saanane zinalionea huruma?! Sdhani...Ila nalionea huruma
Unajua mama ya tetesi,eti tetesi iliyokamilika acha ujuhaMuwe mnaleta tetesi zilizo kamilika, sasa mtu kama yule kuwa hoi ndiyo mnafungua nyuzi? Mnashindwa kuvumiliapo kidogo?
Hata Erythrocyte sijamsikia akileta habari za Lissu kama alivyokuwa analetaga hapo awali 😎kila kitu ni so strange, hata tundu lisu kapotea sijamsikia muda mrefu siyo kawaida ya wafuasi wake kutokuposti chochote kumhusu, anyway tunaishi in dangerous times …