Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Moderators huu uzi msifute ni muhimu

Wakuu tangu asubuhi kuna taarifa zinasambaa kuwa Mh Paul Makonda hupo katika hali mbaya sana hospitalini Afrika kusini akitibiwa, taarifa hizi zipo sana kule X na maeneo mengine.

Kwa kuwa JF ndio mtandao mama wa kitaifa na habari kuu zote huanzia hapa je kuna ukweli wowote kwa hili jambo ?

Inadaiwa amepewa sumu je ni kweli ?

Kama anaumwa je anaumwa nini?

USSR
Muwe mnaleta tetesi zilizo kamilika, sasa mtu kama yule kuwa hoi ndiyo mnafungua nyuzi? Mnashindwa kuvumiliapo kidogo?
 
Sio drama tuu hiyo? Maana DAB anaweza hata ku act amekufa ili mradi apate milage katika media.
Lakini pia kwa tabia zake hayuko salama sana ndio maana kila siku drama za manabii na mashekhe haziishi
Huwa binadam wakianza kutangaza umekufa,fanya maandalizi. Anytime unaondoka tu. Jiwe lilianguka. Yeye nani ashindikane?
 
Moderators huu uzi msifute ni muhimu

Wakuu tangu asubuhi kuna taarifa zinasambaa kuwa Mh Paul Makonda hupo katika hali mbaya sana hospitalini Afrika kusini akitibiwa, taarifa hizi zipo sana kule X na maeneo mengine.

Kwa kuwa JF ndio mtandao mama wa kitaifa na habari kuu zote huanzia hapa je kuna ukweli wowote kwa hili jambo ?

Inadaiwa amepewa sumu je ni kweli ?

Kama anaumwa je anaumwa nini?

USSR
Atakuja kujibu mwenyewe, tena kanisani kama alivyofanya V.P
 
Back
Top Bottom