Kuna watu hawajielewi na wanapinga ukweli. Mtu kama Makonda anajua aliyoyafanya kipindi cha Mad King. Halafu unateuliwa unaenda kwa wale wale uliowasumbua na kuwatesa. Halafu unajiamini kabisa unaenda na unakaa hapo ili kuraisisha uuzwaji wa wanyama kuelekea Uarabuni. Kwenye Maisha ni vizuri kukubali sasa inabidi ubadili fani. Huyu Kijana siyo kiongozi bali ni puppet. Kinachombeba Katika teuzi ni kwamba ni mtu ambaye atafuata kila utakachomwambia. Hata ukifuatailia alianza kupaa baada ya Kumnasa vibao Jaji wakati wa mchakato wa katiba. Na baada ya hapo akapewa ukuu wa wilaya Kinondoni.
Hapo alipo kama Mkuu wa mkoa Halafu anajiamini kabisa na analala usingizi kabisa. 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?

Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.

Britanicca.
Sisi wenye D mbili tuka tafte pango la kujificha hii code ni kwa wale wa PCM(phisics, chemistry ,mathematics)…. Samaleko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…