Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Sio MBOGA .... huyu influence na interests zake kwenye hii nchi ni finyu.... Huu uzushi unatungwa na Nyumbu kumchafua Mboga wakidhadi mwizi wa magari atapata ubunge tena A town .......wapo watu kondakta kawataja kwa codes hadharani( mawaziri tena kakazangu) "elewa maneno MAWAZIRI KAKA ZAKE kondakta".
Yote kwa yote hiyo ni vita yenu wenyewe kwa wenyewe nguruwe wa kijani na mtamalizana sana .
 
Nasikia Peter Msechu yuko Studio!
Msechu mwenyewe sasa
IMG-20240725-WA0095.jpg
 
 
Back
Top Bottom