Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Katika watu wanaoumizwa na kutosikika Tundu Lisu mm ni mmoja wao. Ingawa naamini huenda anaandaa nondo nyingine. Maana CCM wanatakiwa uwaandalie nondo za kutosha wao wameishiwa tayari. Wanamtegemea Msigwa Kwa Sasa ndo Naibu Katibu Mwenezi. Kwa dharura
katoroka nchi tayari. kwa fununu za uhakika. ila ni mzima, manake angeumizwa kidogo tu dunia nzima wangejua, ana kelele jamaa yule kama umerusha jiwe katikati ya kundi la kunguru. angepiga kelele kila mtu angejua.
 
Back
Top Bottom