Rhz4567
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 4,893
- 6,599
DAB maana yake nini na kwanini wanamuita hivyo ?!
[/QUO
Jina lake ni Daudi Albert Bashite.
Nenda hapo kolomije watakwambia P.M siyo jina lake bali ni jina la mkate tu
Alilipata huko kwny chuo cha uvuvi bagamoyo.
Soma threads za Jf miaka ile ya 2015 hadi 2018 utaelewa zaidi.