Usimtaje Mungu kwenye uovu wako.mtu wa Mungu hawezi kumuombe kifo mtu mwingine hata kama ni adui.
Uovu wangu au uovu wake nimeona watu wakiteseka live. Mtu alianza biashara kwa kukokota bidhaa na baiskeli dukani. Anaenda Bank kulipa watu anakuta akaunti zimefungwa. Mtu hajawahi kuajiriwa serikalini aisee. Mungu aitwe Mungu . Hapo ndio patamu maana watu wangeanza kuzusha ooh sijui hiki mara kile. Malipo ni hapa hapa duniani πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ . Nimeshanunua Kreti yangu REWE nasubiri ''habari njema''.
Kama haujui na haujaishi Maisha marefu kuna watu wanakufa hakuna hata mmoja anelia. Kila mtu anafurahi hii misiba nimeshashuhudia kama mitatu.
 
Huu uvumi unaovuma mtandaoni kuhusu afya ya makonda kuna official statement yoyote ile kuverify.
Ukingoja official statement hutaipata. Kumbuka wakati wa uvumi wa JPM kuumwa, tuliambia ni mzima na anachapa kazi. Na tukaulizwa au tunataka mpaka tumwone Magomeni?? Haya tuliambiwa na waziri mkuu..!!! Kumbe mwenzetu alikuwa hoi anaumwa.

LISEMWALO LIPO, KAMA HALIPO LAJA..!!
 
Lakini majuzi hapa wamemzushia pia Dr. Mpango na kumuwashia mishumaa na r.i.p nyingi mara kaibukia Dodoma kwenye sherehe fulani hivi.
 
Mkuu nipe update kama unazo za ndaaaaaani, mwendo ameumaliza?
 
umeandika tena ukaandika. all in all, Mungu huwa anasamehe, vyovyote vile ulivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…